Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akimtoka beki, Mohammed Hussein 'Tshabalala' katika mazoezi ya timu hiyo leo jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na michezo ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Botswana na Burundi Jumamosi na Jumanne
Kiungo Frank Domayo hapa akimiliki mpira mbele ya Nahodha Mbwana Samatta
Mbwana Samatta akiambaa na mpira pembeni ya Frank Domayo
Mbwana Samatta akizungumza na winga wa Taifa Stars, Simon Msuva
Wachezaji wa Taifa Stars wakikimbia katika mazoezi ya leo
Footy great Patrick Dangerfield to QUIT top AFL job after making a very
controversial call he knew would outrage fans
-
The premiership-winning veteran of 338 AFL games is due to step down from
his powerful post on Tuesday night in a decision that will surprise many
people a...
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment