Cristiano Ronaldo baada ya kumpiga chenga kipa wa Napoli, Pepe Reina dakika ya 29, lakini akiwa amebaki anatazamana na nyavu, akagongesha mwamba na kukosa bao la wazi. Hata hivyo, Real ilishinda 3-1 katika mchezo huo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli na kwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya kushinda 3-1 pia nyumbani Madrid kwenye mchezo wa kwanza. Mabao ya Real jana yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 51, Dries Mertens aliyejifunga dakika ya 57 na Alvaro Morata dakika ya 90 na ushei. Mertens ndiye aliyefunga poia bao la Napoli dakikaa ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton express interest in signing Chelsea's Tosin Adarabioyo - just
seven months after the Blues picked up the defender in free transfer
-
EXCLUSIVE BY MIKE KEEGAN: The highly-rated former Manchester City product
has made 17 appearances and started five of the past league matches at
Stamford B...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment