// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REAL MADRID YAENDELEZA VIPIGO LA LIGA, BILBAO WAFA 2-1 SAN MAMES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REAL MADRID YAENDELEZA VIPIGO LA LIGA, BILBAO WAFA 2-1 SAN MAMES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 18, 2017

    REAL MADRID YAENDELEZA VIPIGO LA LIGA, BILBAO WAFA 2-1 SAN MAMES

    Cristiano Ronaldo akimpongeza Casemiro baada ya kuifungia Mbrazil huyo kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 68 ikiilaza 2-1 Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa San Mames Barria, Bilbao. Karim Benzema alianza kuifungia timu ya kocha Mfaransa, Zinadine Zidane dakika ya 25, kabla ya Aritz Adruriz kuwasawazishia wenyeji dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAENDELEZA VIPIGO LA LIGA, BILBAO WAFA 2-1 SAN MAMES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top