// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAMOS AIFUNGIA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA BETIS 2-1 LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAMOS AIFUNGIA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA BETIS 2-1 LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, March 13, 2017

    RAMOS AIFUNGIA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA BETIS 2-1 LA LIGA

    Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 81 ikiilaza 2-1 Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Betis walitangulia kwa bao la Antonio Sanabria dakika ya 24, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Real Madrid dakika ya 41 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAMOS AIFUNGIA LA USHINDI REAL MADRID YAILAZA BETIS 2-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top