Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KIPA wa Yanga, Deo Munishi ‘Dida’ ataanzia benchi, wakati Aishi Manula wa Azam FC atasimama langoni katika mchezo dhidi ya Botswana jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar e Salaam katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Kocha Salum Mayanga amepanga kikosi chake cha kwanza Taifa Stars baada ya kurithi mikoba ya Charles Boniface Mkwasa na amewaanzisha Nahodha Mbwana Samatta kucheza pamoja na chipukizi wa Simba, Ibrahim Hajib katika safu ya ushambuliaji.
Kocha Salum Mayanga (kushoto) akiwa na Manahodha wake, Mbwana Samatta na Jonas Mkude
Kwa ujumla kikosi kiachoanza Taifa Stars leo ni hiki; Aishi Manula, Shomary Kapombe, Mohamed Hussen, Abdi Banda, Erasto Nyoni, Himid Mao, Simon Msuva, Frank Domayo, Mbwana Samatta, Ibrahim Hajib na Shiza Kichuya.
Katika benchi wapo Dida, Hassan Kessy, Gadiel Machiel, Vincent Andrew ‘Dante’, Salim Mbonde, Jonas Mkude, Muzamil Yassin, Abubakar Salum ‘Sure Boy’, Farid Mussa, Hassan Kabunda, Abdulhaman Mussa na Mbaraka Yussuf. Mchezo huo unaanza Saa 10:00 na utarushwa pia moja kwa moja na Azam TV.

0 comments:
Post a Comment