Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akipambana na Adam Smith wa Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1. Man United walitangulia kwa bao la Marcos Rojo dakika ya 23 kabla ya Joshua King kuisawazishia Bournemouth dakika ya 40 kwa penalti kabla ya kipa Artur Boruc kuicheza penalti ya Zlatan Ibrahimovic dakika ya 72 kuwanyima Mashetani Wekundu ushindi wa nyumbani. Bournemouth ilimaliza pungufu baada ya Andrew Surman kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: New details emerge of Cristiano Ronaldo's new Saudi
mega-contract, including part ownership of Al-Nassr, with deal confirming
his place as world's highest-paid athlete
-
The 39-year-old superstar joined Gulf state outfit Al-Nassr in a
blockbuster move in January 2023 on the heels of his acrimonious departure
from Manchester...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment