Henrikh Mkhitaryan akiifungia bao la ugenini Manchester United dakika ya 35 baada ya pasi ya Zlatan Ibrahimovic katika sare ya 1-1 na wenyeji, Rostov kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Olimp 2 mjini Rostov. Bao la wenyeji lilifungwa na Aleksandr Bukharov dakika ya 53 na sasa Mashetani Wekundu watahitaji ushindi wa nyumbani kwenda Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim's team news update
-
The boss hopes a key performer will be fit in time to face the Gunners.
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment