Sergio Aguero akipasua katikati ya wachezaji wa Monaco, Fabinho na Djibril Sidibe (kushoto) katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Louis II mjini Monaco. Monaco ilishinda 3-1 na kusonga mbele kwa ushindi wa mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 6-6 kufuatia kufungwa 5-3 kwenye mchezo wa kwanza Manchester. Mabao ya Monaco jana yalifungwa na Kylian Mbappe Lottin dakika ya nane, Fabinho dakika ya 29 na Tiemoue Bakayoko dakika ya 77, wakati Leroy Sane aliifungia City dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL News: Lou Anarumo, Steve Wilks Reportedly Expected to Interview for
Colts DC Job
-
The Indianapolis Colts are reportedly looking into multiple notable names
as they look to fill their vacant defensive coordinator role. NFL Network's
Tom…
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment