// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MALINZI ALIPOMTAMBULISHA DK MWAKYEMBE KWA KAMATI YA SERENGETI BOYS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MALINZI ALIPOMTAMBULISHA DK MWAKYEMBE KWA KAMATI YA SERENGETI BOYS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, March 25, 2017

        MALINZI ALIPOMTAMBULISHA DK MWAKYEMBE KWA KAMATI YA SERENGETI BOYS

        Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kulia) akimlaki Waziri mpya wa Habari Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harison Mwakyembe (kushoto) katika hoteli ya Court Yard, eneo la Sea View, Dar es Saalaam leo mchana kabla ya kumtambulisha kwa Kamati ya Serengeti Boys 
        Jamal Malinzi akimlaki Dk Harison Mwakyembe aliyechukua nafasi ya Nape Nnauye aliyeondolewa juzi
        Dk Harison Mwakyembe akisalimiana na Mjumbe wa Kamati ya Serengeti Boys, Beatrice Singano
        Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kulia) akimsomea Dk Harisons Mwakyembe muhtasari wa Kamati ya Serengeti Boys 
        Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ayoub Nyenzi na Katibu Mkuu wa shirikisho, Selestine Mwesigwa (kushoto)
        Malinzi akiwatambulisha Wajumbe wa Kamati kwa Dk Mwakyembe
        Dk Mwakyembe akisalimiana na wadau mbalimbali akiwemo Maulid Kitenge (katikati) Mjumbe wa Serengeti Boys
        Mkurugenzi wa Michezo, Yussuf Omar Singo (kushoto) akimpa mwongozo Waziri wa Michezo, Dk Harison Mwakyembe
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MALINZI ALIPOMTAMBULISHA DK MWAKYEMBE KWA KAMATI YA SERENGETI BOYS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry