// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL 'YAIPEKECHA' ARSENAL 3-1 ANFIELD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL 'YAIPEKECHA' ARSENAL 3-1 ANFIELD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 04, 2017

    LIVERPOOL 'YAIPEKECHA' ARSENAL 3-1 ANFIELD

    Roberto Firmino akipiga hesabu za kumtoka Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kumuacha chini beki Shokdran Mustafi wa Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Roberto Firmino dakika ya tisa Sadio Mane dakika ya 40 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei wakati la Arsenal limefungwa na Danny Welbeck dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL 'YAIPEKECHA' ARSENAL 3-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top