// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL WANYIMWA PENALTI WAKITOA SARE YA 1-1 NA MAN CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL WANYIMWA PENALTI WAKITOA SARE YA 1-1 NA MAN CITY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, March 19, 2017

    LIVERPOOL WANYIMWA PENALTI WAKITOA SARE YA 1-1 NA MAN CITY

    Sadio Mane wa Liverpool akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Nicolas Otamendi kwenye boksi leo lakini refa hakutoa penalti timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Liverpool walitangulia kwa bao la penalti la James Milner dakika ya 51, kufuatia Roberto Firmino kuangushwa na Gael Clichy kwenye boksi, lakini Sergio Aguero akaisawazishia Man City akimalizia pasi ya Kevin de Bruyne dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL WANYIMWA PENALTI WAKITOA SARE YA 1-1 NA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top