Kiungo mshambuliaji wa Mlandizi Queens, Mwanahamisi Omar 'Gaucho' akimiliki mpira dhidi ya wachezaji wa Panama ya Iringa, Antoneza Mbanga (kushoto) na Maimuna Mtoro (kulia) katika mchezo wa mwisho wa Sita Bora ya Ligi Kuu ya Wanawake jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Mlandizi ilishinda 5-0 na kkutwaa ubingwa wa kwanza wa michuano hiyo iliyodhaminiwa na Azam TV
Zainab Mlenda wa Mlaandizi Queens (kushoto) akipambana na Mariam Mbojela wa Panama
Karangaza Kingamkono wa Mlandizi Queens akimiliki mpira mbele ya Wema Maile wa Mlandizi Queens
Wachezaji wa Mlandizi Queens na Panama wakipambana kugombea mpira huku refa akiwashuhudia
Jamilla Hassan wa Mlandizi Queens akipambana na Eunice Tweve wa Panama
Wachezaji wa akiba wa Mlandizi Queens wakifuatilia mchezo
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiwakagua wachezaji wa JKT Queens kabla ya mchezo wa kufunga mashindano hayo dhidi ya Kigoma Sisters
Mwandishi wa Habari wa TBC, Jesse John akiwa katika mahojiano na Mwenyekiti wa Chama cha Soka ya Wanawake (TWFA), Amina Kaluma
Wapenzi maarufu wa soka ya wanawake nchini walikuwepo jana kushuhudia mabinti wakionyesha vipaji
Mwenyekiti wa Chama cha Soka KIbaha (KIBAHA), Robert Munisi alikuwepo jana
Pep Guardiola lectures serial autograph hunters with a life lesson after
they ambushed him in a car park near Man City manager's home
-
Manchester City manager Pep Guardiola dished out a scathing dressing down
of several serial autograph hunters who approached him asking for
signatures near...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment