Kocha Msaidizi wa JKT Ruvu, Azishi Kondo akinunua mihogo mibichi atafune Uwanja wa Karume, Dar es Salaam wakati wa mechi za mwisho wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.
Kondo alikuwa na rafiki zake mbalimbali akiwemo Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jemadari Said
Kondo anafahamika kama mpenzi wa mihogo mibichi na karanga mbichi pamoja na nazi
Hapa Kondo anampa rafiki yake Jemedari muhogo, lakini mchezaji huyo wa zamani wa Kariakoo Lindi alikuwa kama haoni hivi
Hapa wako pamoja na rafiki zake akiwemo Ally Ruvu
Massive Australian Open shock as top star Zheng Qinwen falls to the oldest
woman in the tournament after fiery clash with umpire
-
Zheng had a stellar 2024, making the final of the Australian Open and
winning gold at the Paris Olympics - but her 2025 got off to a horror start
at Melbou...
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment