Paulo Dybala akiifungia kwa penalti Juventus dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Juventus mjini Torino katika mchezo wa Serie A usiku wa jana dhidi ya AC Milan. Juve ilishinda 2-1 bao lingine likifungwa na Medhi Benatia dakika ya 30, wakati la Milan lilifungwa na Carlos Bacca dakika ya 43 na sasa Kibibi Kizee cha Turin kinaongoza Serie A kwa pointi 11 kikitimiza pointi 70 baada ya kucheza mechi 28 zaidi dhidi ya AS Roma wenye pointi 59 za mechi 27 katika nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LaVine on Trade Rumors: 'If You're Not at That Level, They Wouldn't Talk
About You'
-
Chicago Bulls guard Zach LaVine knows that part of being included in trade
rumors means there are other teams interested in your production. "People
are…
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment