// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); IVORY COAST YAANZA KUREJESHA MAKALI, YAIBAMIZA 2-0 URUSI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE IVORY COAST YAANZA KUREJESHA MAKALI, YAIBAMIZA 2-0 URUSI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, March 25, 2017

        IVORY COAST YAANZA KUREJESHA MAKALI, YAIBAMIZA 2-0 URUSI

        Jonathan Kodjia wa Aston Villa akishangilia baada ya kuifungia Ivory Coast bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa FK Krasnodar mjini Krasnodar. Bao lingine la Ivory Coast lilifungwa na Wilfried Zaha dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: IVORY COAST YAANZA KUREJESHA MAKALI, YAIBAMIZA 2-0 URUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry