// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ITALIA YAIPIGA 2-0 ALBANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ITALIA YAIPIGA 2-0 ALBANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, March 25, 2017

        ITALIA YAIPIGA 2-0 ALBANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

        Daniele De Rossi akishangilia na Andrea Belotti baada ya nyota huyo wa Roma kufunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 12 baada ya Migjen Basha kumuangusha Andrea Belotti kwenye boksi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Albania kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Renzo Barbera mjini Palermo. Bao lingine la Italia lilifungwa na Ciro Immobile dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ITALIA YAIPIGA 2-0 ALBANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry