Mshambuliaji Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 50 Chelsea katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United Uwanja wa London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana. Eden Hazard alitangulia kuifungia The Blues dakika ya 25 na Manuel Lanzini akawafungia wenyeji bao la kufutia machozi dakika ya 90 na ushei. Chelsea sasa inaongoza Ligi Kuu kwa pointi 10 zaidi ikiwa na pointi 66 dhidi ya 56 za Tottenham Hotspur katika nafasi ya pili baada ya timu zote kucheza mechi 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arteta spots differences in United's style
-
Arsenal boss feels United will be more of a threat than we were in the
league game last month.
37 minutes ago
0 comments:
Post a Comment