Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 42 na 45 katika sare ya 3-3 na wenyeji, Urusi kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Olimpiyskiy Fisht, Sochi. Bao lingine la Ubelgiji lilifungwa na Kevin Mirallas wakati ya Urusi yalifungwa na Viktor Vasin dakika ya tatu, Aleksei Miranchuk dakika ya 74 na Aleksandr Bukharov dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Supporters' Club network reaches a new milestone
-
We've welcomed our first official Jewish Supporters’ Club, taking our
community to 330 branches across 90 countries.
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment