Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtungua kipa wa Sporting Gijon, Ivan Cuellar kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya tisa katika ushindi wa 6-1 kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Juan Rodriguez aliyejifunga dakika ya 11, Luis Suarez dakika ya 27, Francisco 'Paco' Alcacer dakika ya 49, Neymar Junior dakika ya 65 na Ivan Rakitic dakika ya 87, wakati la Sporting Gijon lilifungwa na Carlos Castro García dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Usada 'fully supports' US government withholding Wada payment
-
The US Anti-Doping Agency (Usada) says it "fully supports" the US
government's decision to withhold a payment of $3.6m (£2.8m) to the World
Anti-Doping Age...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment