Mario Balotelli akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kufunga bao lake la 10 msimu huu dakika ya 71, timu yake, Nice ikilazimishwa sare ya 2-2 Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice na Caen katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa. Bao lingine la Nice lilifungwa na Anastasios Donis dakika ya 77, wakati ya wageni yalifungwa na Ivan Santini dakika ya 36 na Yann Karamoh dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Derrick Henry Posts 'Cars' Photo After Lamar Jackson's Viral Video After
Ravens' Win
-
Baltimore Ravens quarterback Lamar Jackson compared running back Derrick
Henry to the main character of the Cars franchise, Lightning McQueen, after
his…
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment