Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akifumua shuti katikati ya mabaki wa Mbabane Swallows ya Swaziland kuifungia bao pekee timu yake usiku wa jana katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho Afrika
Ramadhani Singano 'Messi' akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbabane, Sanele Mkweli
Beki wa Azam, Shomary Kapombe akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Mbabane Swallows
Mshambuliaji Mghana wa Azam, Yahya Mohammed akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya wachezaji wa Mbabane Swallows
Nahodha na kiungo wa Azam, Himid Mao (kulia) akimiliki mpira
Kinda wa Azam, Shaaban Iddi akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Swallows
Kiungo wa Azam, Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwahi mpira dhidi ya kiungo wa Mbabane, Mkongo Kabamba Tshishimbi
Kocha wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm jana alkikuwepo Chamazi kutazama mechi
Kikosi cha Mbabane Swallows kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Azam FC kabla ya mchezo wa jana Chamazi
"I knew what I was going to do"- Antoine Semenyo reflects on stunner
against Chelsea
-
Ghana forward Antoine Semenyo has reacted to Bournemouth's performance at
Stamford Bridge against Chelsea in the thrilling 2-2 draw on Tuesday
evening. Th...
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment