
Friday, March 31, 2017

MSHAMBULIAJI wa Everton, Romelu Lukaku ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya England. Lukaku amefunga mabao mann...
MTUNZI WA 'MPEWA HAPOKONYEKI' ANATIA HURUMA, KAZI ZAKE ZAWANUFAISHA WENGINE YEYE ANATEKETEA
Friday, March 31, 2017
Na Salum Vuai, ZANZIBAR JUMATATU ya tarehe 27 Machi, 2017, niliamua kuakhirisha mambo yangu mengine yaliyokuwemo kwenye ratiba yangu na ku...
JESSE LINGARD AONYESHA BENTLEY LAKE LA PAUNI 200,000
Friday, March 31, 2017
Nyota wa Manchester United, Jesse Lingard (kushoto) akiwa nje ya gari yake mpya aina ya Bentley Continental GT yenye thamani ya Pauni 20...
SERENGETI BOYS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA KAITABA
Friday, March 31, 2017
Beki wa timu ya vijana chini chini ya umri wa miaka 17 wa Burundi, Paul Amatungo akiingia miguuni mwa mchezaji wa Tanzania, Ally Hamisi N...
KABURU ASEMA SIMBA HAITAICHUKULIA POA KAGERA SUGAR JUMAPILI
Friday, March 31, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, BUKOBA MAKAMU wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ amesema kwamba hawataidharau Kagera Sugar katika mchezo wa...
Thursday, March 30, 2017
SIMBA WALIVYOISHUHUDIA SERENGETI IKIWAPIGA BURUNDI LEO
Thursday, March 30, 2017
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwaonyesha kitu wenzake wakati mchezo wa kirafiki kati ya timu ya vijana ya Tanzan...
SERENGETI BOYS WAIPIGA 3-0 BURUNDI KAITABA
Thursday, March 30, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, BUKOBA TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ...
MAREFA WA RWANDA, GUINEA KUCHEZESHA YANGA NA WAALGERIA
Thursday, March 30, 2017
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO ya Soka Afrika (CAF), limewateua marefa wa Rwanda na Guinea kuchezesha mechi mbili za mchujo wa ...
NYASI BANDIA ZA SIMBA ZAPIGWA MNADA WAMESHINDWA KUZILIPIA USHURU
Thursday, March 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NYASI bandia za Simba ziko hatarini kupigwa mnada, baada ya klabu hiyo kushindwa kuzilipia ushuru tangu z...
FIRMINO NA COUTINHO WAIWAHI LIVERPOOL V EVERTON JUMAMOSI
Thursday, March 30, 2017
Roberto Firmino na Philippe Coutinho wakiwa kwenye ndege waliyotumiwa na Liverpool jana ili wawahi mchezo wa Ligi Kuu ya England wa mahas...
SCHWEINSTEIGER APEWA JEZI NAMBA 31 CHICAGO FIRE
Thursday, March 30, 2017
Bastian Schweinsteiger akiwa ameshika jezi ya timu yake mpya, Chicago Fire jana wakati wa kutambulishwa kwake kwenye mkutano na Waandish...
FURAHA YA RONALDO BAADA YA UWANJA WAKE NDEGE KUZINDULIWA
Thursday, March 30, 2017
Cristiano Ronaldo (kulia) akizungumza na viongozi jana wakati wa sherehe ya utambulisho wa Uwanja wa Ndege wa Madeira kwa jina lake PICH...
KOCHA MAYANGA ANAPOKUWA KAZINI KAA NAYE MBALI
Thursday, March 30, 2017
Kocha wa timu ya soka ya wakubwa ya Tanzania, Salum Mayanga akiwapigia kelele wachezaji wake wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dh...
MBARAKA YUSSUF AWAAMBIA SIMBA; “HAKUNA KUCHEKEANA JUMAPILI”
Thursday, March 30, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, BUKOBA MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbaraka Yussuf Abeid anayechezea Kagera Sugar ya Bukoba ameiam...
Wednesday, March 29, 2017
TAMBWE: NIPENI WIKI MOJA NITAKUWA FITI
Wednesday, March 29, 2017
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe anahitaji wiki moja zaidi kabla ya kurejea kikamilifu ...
MTANZANIA WA UJERUMANI KUWANOA WENYE VIPAJI NCHINI
Wednesday, March 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MTANZANIA anayeishi nchini Ujerumani Emanuel Austin, ameandaa mafunzo maalum ya kucheza muziki kwa vijan...
CAF YAIGOMEA YANGA KUPELEKA MECHI NA WAARABU KIRUMBA
Wednesday, March 29, 2017
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO ya Soka Afrika (CAF), limekataa mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi y...
CHILE 3-1 VENEZUELA
Wednesday, March 29, 2017
BOLIVIA 2-0 ARGENTINA
Wednesday, March 29, 2017
URENO 2-3 SWEDEN
Wednesday, March 29, 2017
BRAZIL 3-0 PARAGUAY
Wednesday, March 29, 2017
UFARANSA 0-2 HISPANIA
Wednesday, March 29, 2017
BENTEKE AFUNGA MAWILI, UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA URUSI
Wednesday, March 29, 2017
Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 42 na 45 katika sare ya 3-3 na wenyeji, Urusi kwenye mc...
JAMES RODRIGUEZ AIBEBA COLOMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Wednesday, March 29, 2017
James Rodriguez (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Colombia bao la kwanza dakika ya 20 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wen...
SANCHEZ AFUNGA, AKOSA PENALTI CHILE YASHINDA 3-1
Wednesday, March 29, 2017
Alexis Sanchez akifumua shuti la mpira wa adhabu kuifungia Chile bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Venezuela ...
ITALIA YAIZIMA UHOLANZI 2-1 AMSTERDAM ARENA
Wednesday, March 29, 2017
Beki Leonardo Bonucci akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Italia dakika ya 32 ikiwalaza 2-1 wenyeji Uholanzi katika mchezo w...
BAO LA GRIEZMANN LAKATALIWA, UFARANSA WAFA 2-0 NYUMBANI BELE YA HISPANIA
Wednesday, March 29, 2017
Antoine Griezmann wa Ufaransa akishangilia bao lililokataliwa baada ya kurudiwa kutazamwa kwenye teknolojia ya video katika mchezo wa kir...
RONALDO AFUNGA LAKINI URENO YAPIGWA 3-2 NYUMBANI NA SWEDEN
Wednesday, March 29, 2017
Cristiano Ronaldo akiifungia bao timu yake ya taifa, Ureno dakika ya18 jana ikifungwa 3-2 na Sweden Uwanja wa Maritimo katika mchezo wa ...
KICHUYA, MAVUGO, HAJIB WATUA BUKOBA KUIONGEZEA NGUVU SIMBA
Wednesday, March 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, BUKOBA NYOTA wa Burundi, Laudit Mavugo na wachezaji saba wa Simba waliokuwa na timu ya taifa ya soka ya taifa ya Tanza...
ARGENTINA YAWEKEWA KIGINGI KUFUZU KOMBE LA DUNIA, YAPIGWA 2-0
Wednesday, March 29, 2017
Juan Carlos Arce akishangilia baada ya kuifungia Bolivia bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Argentina jana Uwanja ...
BRAZIL YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, YAILIPUA PARAGUAY 3-0
Wednesday, March 29, 2017
Nyota wa Brazil, Philip Coutinho (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Brazil katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa ...
TAIFA STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA
Wednesday, March 29, 2017
Mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Hajib (katikati) akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya mabeki wa Burundi katika mchezo wa kirafiki wa kima...
Subscribe to:
Posts (Atom)