// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA NA NGAYA KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA NA NGAYA KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, February 19, 2017

        YANGA NA NGAYA KATIKA PICHA JANA TAIFA

        Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa akimiliki mpira mbele ya beki wa Ngaya de Mde ya Comoro katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Yanga imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya awali kushinda 5-1 ugenini

        Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa Ngaya 
        Kipa wa Ngaya, Said Mmadi akiwa amedaka mpira katikati ya wachezaji wa Yanga, Emmanuel Martin (kulia) na Thabani Kamusoko (kushoto) 


        Winga wa Yanga, Simon Msuva akiambaa na mpira huku akipiha hesabu na kutia krosi langoni mwa Ngaya 
        Beki wa Yanga, Vincent Bossou akimtoka mshambuliaji wa Ngaya 


        Mshambuliaji wa Ngaya, Mounir Moussa akimuacha kiungo wa Yanga, Deus Kaseke


        Beki wa kulia wa Yanga, Juma Abdul aakiambaa na mpira dhidi ya beki wa Ngaya
        Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin akimtoka beki wa Ngaya 

        Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa


        Kikosi cha Ngaya jana Uwanja wa Taifa   
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA NA NGAYA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry