// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ULIMUONA NIMA WA MANYIKA LEO TAIFA? BASI ALITOKA HIVI! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ULIMUONA NIMA WA MANYIKA LEO TAIFA? BASI ALITOKA HIVI! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 16, 2017

    ULIMUONA NIMA WA MANYIKA LEO TAIFA? BASI ALITOKA HIVI!

    Shabiki maarufu wa Simba, Naima Salum 'Nima' (kulia) ambaye ni mchumba wa kipa wa timu hiyo, Peter Manyika akiwa jukwaani kushuhudia mchezo baina ya timu yake hiyo kipenzi dhidi ya African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo   
    Simba SC ilishinda 1-0 mechi hiyo ya hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ULIMUONA NIMA WA MANYIKA LEO TAIFA? BASI ALITOKA HIVI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top