Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo (kulia) akipambana na beki wa African Lyon, Hamad Waziri katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 1-0 bao pekee ka Mavugo
Laudit Mavugo akifunga bao hilo pekee kwa urahisi mbele ya beki Hassan Isihaka wa Lyon
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimruka kiungo wa Lyon, Peter Mwalyanzi
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Lyon, Miraj Adam
Kiungo wa Simba, Said Ndemla akiwadhibti wachezaji wa Lyon kuulinda mpira mbele yake
Beki wa Simba, Abdi Banda akiambaa na mpira kulia
Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizo kulia mbele ya beki wa Lyon
Mabeki Janvier Besala Bokungu wa Simba (kushoto) na Hamad Waziri wa Lyon (kulia) wakipambana
Kikosi cha Simba jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Kikosi cha African Lyon jana Uwanja wa Taifa
Tom Brady wants Ben Johnson to become new Las Vegas Raiders head coach
after Bill Belichick rejection
-
Brady, a minority owner of the Las Vegas Raiders, is personally involved in
the search for a new head coach after the organization fired Antonio Pierce.
55 minutes ago
0 comments:
Post a Comment