Mshambuliaji Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Samatta akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa FC Astra Giurgiu ya Romania usiku wa jana Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 32 Bora Europa League ya UEFA. Genk ilishinda 1-0 na kutinga hatua ya 16 Bora kwa ushindi wa jumla wa 3-2, baada ya wiki iliyopita kulazimisha sare ya 2-2 ugenini
Hapa Samatta anadhibitiwa na mabeki wawili wa FC Astra Giurgiu
Samatta ni kati ya wachezaji wa kuchungwa kwa sasa Ulaya
Samatta wa pili kulia waliosimama katika kikosi cha Genk kilichoanza jana
Samatta wa pili kushoto akishangilia na wenzake baada ya ushindi huo
Wachezaji wa Genk wakifurahia kwenda hatua ya 16 Bora ya Europa League
MLB Exec Ranks Dodgers' Front Office as No. 1: 'They Are Elite at
Everything'
-
The Los Angeles Dodgers' front office is seen as the best in baseball
according to a survey of executives and coaches by The Athletic. One
executive told The…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment