Wachezaji wa Barcelona wakielekea katikati ya Uwanja kinyonge kuanzisha tena mchezo baada ya kufungwa mabao 4-0 na wenyeji PSG usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya PSG yalifungwa na Angel Di Maria mawili dakika za 18 na 55, Julian Draxler dakika ya 40 na Edinson Cavani dakika ya 71 na sasa Barca watatakiwa kushinda 5-0 Camp Nou kwenye mchezo wa marudiano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tearful Jabeur overcomes breathing problems to win
-
Former world number two Ons Jabeur in tears on court as she struggles with
breathing difficulties during her third-round Australian Open victory.
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment