Shabiki wa Simba akipeperusha bendera ya CHADEMA katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1
Lakini alikuwa akifanya kwa ujanja mno ili Polisi wasimuone
Polisi wakijipindua alikuwa akiinyoosha bendeta yake
Hapa ni wakati anaingia ameificha bendera yake



0 comments:
Post a Comment