Washambuliaji Luis Suarez (kulia) na Lionel Messi (kushoto) wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1 wa Barcelona dhidi ya Atletico Madrid usiku wa jana kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania. Suarez alifunga dakika ya saba akimalizia pasi ya Javier Mascherano na Messi dakika ya 33 akimalizia pasi ya Ivan Rakitic, kabla Antoine Griezmann kuifungia Atletico dakika ya 59 akimalizia pasi ya Diego Godin. Barcelona sasa watakuwa wenyeji wa Atletico Madrid katika mchezo wa marudiano Jumanne Uwanja wa Nou Camp PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Alagidede opens up on fallout with Nsoatreman FC, cites political
tensions
-
Former General Manager of Nsoatreman FC Eric Alagidede has opened up about
the fallout with his former club, revealing that political tensions were at
the ...
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment