Kikosi cha Fanja FC ya Oman kilichofungwa mabao 2-1 na wenyeji, Al Ahed ya Lebanon katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Uarabuni juzi Saida International mjini Saida. Timu hizo zitarudiana Jumatano ya Februari 8, mwaka huu, Uwanja wa Al-Seeb, Muscat, Oman na Fanja watatakiwa kushinda 1-0 nyumbani ili kusonga mbele. Wa kwanza kulia mbele ni kiungo wa zamani wa Yanga, Mbuyu Twite na wa tatu kutoka kushoto nyuma ni mshambuliaji wa zamani wa Simba, Daniel Lyanga
Wasteful England beaten in Women's Ashes opener
-
England suffer a four-wicket defeat in the opening one-day international of
the Women's Ashes in Sydney.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment