Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero (kushoto) akishangilia na Leroy Sane baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-3 dhidi ya Monaco Uwanja wa Etihad usiku wa jana katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika, Aguero alifunga mawili dakika za 58 na 71, Sane moja dakika ya 82 na mengine Raheem Sterling dakika ya 26 na John Stones dakika ya 77, wakati ya Monaco yalifungwa na Radamel Falcao mawili dakika za 32 na 61 huku akikosa penalti dakika ya 50 na Kylian Mbappe Lottin dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Colts' DeForest Buckner: 'We S--t the Bed' in Loss to Giants Amid NFL
Playoff Race
-
DeForest Buckner gave an honest response when asked about his team's
performance against the New York Giants on Sunday. The Indianapolis Colts
defensive…
5 minutes ago
0 comments:
Post a Comment