Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 75 ikiwalaza wenyeji, Blackburn Rovers 2-1 usiku huu Uwanja wa Ewood Park mjini Blackburn, Lancashire katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England. Danny Graham alianza kuifungia Rovers bao la kuongoza dakika ya 17, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia United dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Barcelona lose second appeal to register Olmo before deadline
-
Barcelona lose another appeal to register Spain midfielder Dani Olmo for
the second half of the season, one day before the deadline.
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment