Umati wa watu nje ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa harakati za kuingia ndani kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya mahasimu, Simba na Yanga loe. Mchezo huo unaanza Saa 10:00 jioni
Askari Polisi wa kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa mbele ya geti kuu Uwanja wa Taifa
Watu wanaelekea kuingia uwanjani, askari wanazidi kumiminika Taifa
Shabiki wa Yanga akiendesha baiskeli yake kwa mbwembwe
Mashabiki wa Simba wamemuweka kati shabiki wa Simba
Mashabiki wa Simba na Yanga kwa upendo wakipiga picha ya pamoja
Wafanyabiashara ndogondogo nao wametumia fursa hii kujitafuia riziki
Mashabiki wakipiga hesabu wakaingilie geti gani
Askari wanamkagua kila anayeintia uwanjani, hata awe nani
Akina mama wakijitafutia riziki kwa kuuza vinywaji nje ya Uwanja wa Taifa
MLB Exec Ranks Dodgers' Front Office as No. 1: 'They Are Elite at
Everything'
-
The Los Angeles Dodgers' front office is seen as the best in baseball
according to a survey of executives and coaches by The Athletic. One
executive told The…
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment