Meneja wa Azam Diaries, Hussein Issa akimkabidhi jezi kiongozi wa timu ya Dar Athletic FC, Salim Aziz wiki hii kama msaada wao kwa timu hiyo ya Mtaa wa Livingston, Kariakoo, Dar es Salaam.
Viongozi wa Dar Athletic na wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Azam Diaries
Dar Athletic wakavaa jezi hizo kwa mara ya kwanza juzi wakiheza mechi ya kirafiki na Bin Slum FC
Mechi hiyo iliyofanyika Uwanja wa kituo cha cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete, zamani Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam iliisha kwa sare ya 1-1



0 comments:
Post a Comment