
Tuesday, February 28, 2017

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (mwenye shati la drafti) akizungumza na wachezaji wa Yanga, Simon Msuva ...
MAREFA WA DJIBOUTI KUCHEZESHA YANGA NA ZANACO TAIFA MACHI 11
Tuesday, February 28, 2017
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetaja marefa watakaochezesha mechi ya kwanza ya hatua ya 32 Bora Ligi ya...
ISRAEL NKONGO KUCHEZESHA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Tuesday, February 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limeteua waamuzi wanne wa Tanzania watakaochezesha mechi ya Ligi ya Mabi...
CHARLES HILLARY ATEULIWA KAMATI YA KUHAMASISHA SERENGETI BOYS
Tuesday, February 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MWANDISHI nguli wa habari na mtangazaji nyota wa kimataifa, Charles Hillary ameteuliwa kuongoza Kamati ya...
LWANDAMINA AWATAKA WACHEZAJI YANGA KUSAHAU KIPIGO CHA SIMBA NA KUFIKIRIA UBINGWA
Tuesday, February 28, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amewaambia wachezaji wake wasahau kipigo cha Simba Jumamosi na ku...
MKUDE ALIKUWA ‘ANAMUWAKIA’ NINI HAPA AGYEI?
Tuesday, February 28, 2017
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kulia) akizungumza na kipa wake, Daniel Agyei wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi y...
KOCHA AZAM ASEMA MAMBO MAZURI YANAKUJA
Tuesday, February 28, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho l...
LEICESTER CITY 3-1 LIVERPOOL
Tuesday, February 28, 2017
LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-1 KING POWER
Tuesday, February 28, 2017
Jamie Vardy akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la tatu kati ya mawili aliyofunga dakika za 28 na 60...
Monday, February 27, 2017
PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ROBO FAINALI
Monday, February 27, 2017
Wachezaji wa Prisons wakishangilia baada ya kuitoa Mbeya City kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo wa 16 Bora Kombe la Shir...
TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA JAMHURI, YANGA NA MTIBWA MACHI 5
Monday, February 27, 2017
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limerejesha tena mechi za Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro na...
YANGA KUPOZA MACUNGU KWA RUVU SHOOTING KESHOKUTWA?
Monday, February 27, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea keshokutwa Jumatano ambako mabingwa watete...
NNE BORA YA LIGI DARAJA LA PILI KUANZA JUMATANO
Monday, February 27, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU nne vinara wa Ligi Daraja la Pili kutoka makundi manne, zinatarajiwa kuanza kupambana keshokutwa Jum...
MLANDIZI QUEENS YAANZA VYEMA LIGI YA WANAWAKE BARA
Monday, February 27, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya soka ya Wanawake Tanzania Bara, hatua ya timu sita Bora (6), ilianza rasmi jana kwa Mlandizi ...
MKWASA AZUNGUMZIA HALI HALISI YANGA, ASEMA...
Monday, February 27, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga imesema kwamba pamoja na hali ngumu ya kifedha inayowakabili kwa sasa, lakini itahakikish...
NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA
Monday, February 27, 2017
Shabiki wa Simba akipeperusha bendera ya CHADEMA katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga Uwanja wa Taif...
MAKOCHA WAZAWA WAIKACHA NAFASI YA UKOCHA GHANA
Monday, February 27, 2017
LICHA ya kwamba hawana kocha tangu wamemaliza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, Chama cha Soka Ghana hakina haraka kutafuta mwalimu mp...
ATLETICO MADRID 1-2 BARCELONA
Monday, February 27, 2017
VILLARREAL 2-3 REAL MADRID
Monday, February 27, 2017
MAN UNITED 3-2 SOUTHAMPTON
Monday, February 27, 2017
REAL MADRID NAYO YASHINDA LA LIGA, YAIPIGA 3-2 VILLARREAL
Monday, February 27, 2017
Alvaro Morata aliyetokea benchi akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kufunga bao bao la ushindi dakika ya 83 ...
Sunday, February 26, 2017
ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'NDOO' YA KWANZA CHINI YA MOURINHO
Sunday, February 26, 2017
Wachezaji wa Manchester United wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England baada ya kuifunga Southampton mabao 3-2 leo katika faina...
SAMATTA AWEKEWA ULINZI ‘WA KUFA MTU’, GENK YAFA 2-0 KWA ANDERLECHT
Sunday, February 26, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM USIKU wa leo, Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta atalala hoi baada ya dakika 90 za mechi ngumu ya L...
CHELSEA 3-1 SWANSEA CITY
Sunday, February 26, 2017
MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAIPIGA ATLETICO MADRID 2-1
Sunday, February 26, 2017
Lionel Messi akishangulia na mchezaji mwenzake, Neymar Junior baada ya kufunga bao lake la 20 msimu huu dakika ya 86 katika ushindi wa 2-...
KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAUA 4-0 ENGLAND
Sunday, February 26, 2017
Harry Kane akishangilia baada ya kufunga mabao matatu katika dakika za 14, 32 na 37 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Stoke City kwenye mche...
POLISI JANA WALIKUWA KAZINI KWELI UWANJA WA TAIFA
Sunday, February 26, 2017
Askari Polisi (kulia) akiwalinda mashabiki wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga ...
MAVUGO AWAPA AHADI NZURI SIMBA SC
Sunday, February 26, 2017
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo amesema kwamba ataendelea kufunga mabao hadi kutimiza ndoto za...
SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA
Sunday, February 26, 2017
Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akipiga kichwa mbele ya beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' katika mchezo wa Ligi K...
KEVIN YONDAN ALICHEZA PAMOJA NA MACHUPPA, ULIMBOKA, GABRIEL SIMBA
Sunday, February 26, 2017
Kikosi cha Simba mwaka 2007; kutoka kulia waliosimama ni George Owino, Emmanuel Gabriel, Nassor Masoud ‘Chollo’, Juma Kaseja, Athumani Ma...
PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?
Sunday, February 26, 2017
SIMBA jana wamefanikiwa kuwafunga kwa mara ya pili mfululizo watani wao wa jadi, Yanga baada ya kuwachapa 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
MBOWE ALIVYOTINGA NA MTOTO WEMA TAIFA JANA, BAHATI MBAYA YANGA YAO IKAPIGWA
Sunday, February 26, 2017
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na mwigizaji nyota wa Bongo Muvi, Wema Sepetu aliyejiunga na chama hicho juzi wakii...
Saturday, February 25, 2017
LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA LEO TAIFA
Saturday, February 25, 2017
Waziri Mkuu wa zamani nchini, Edward Lowasa aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi Mkuu uliopita akiwapungia mkon...
Subscribe to:
Posts (Atom)