Lionel Messi (kushoto), Denis Suarez (katikati) na Luis Suarez wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Real Sociedad kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp. Mabao ya Barca yalifungwa na Denis Saurez dakika za 17 na 82, Lionel Messi dakika ya 55, Luis Suarez dakika ya 65 na Arda Turan dakika ya 80, wakati ya Real yalifungwa na Juanmi dakika ya 62 na Willian Jose dakika ya 73 na Barca inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya awali kushinda 1-0 ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Hanna Cavinder takes her mind off rumored Carson Beck breakup in 'weekend
of luv' with sister Haley
-
Hanna, who plays for the University of Miami women's basketball team,
sparked breakup rumors by unfollowing Hurricanes quarterback Beck and
wiping any trac...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment