Kiungo wa Manchester United, Juan Mata akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United jana Uwanja wa London. Bao la pili la Man United lilifungwa na Zlatan-Ibrahimovic dakika ya 78 katika mchezo ambao Sofiane Feghouli wa West Ham alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu ya kawaida Phil Jones iliyostahili hata kadi ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pundit Predictions: Do you agree with Wes Brown?
-
Champions League winner Wes Brown has made his United Predictions for
Arsenal away, and you can too.
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment