Beki wa kushoto wa Manchester City, Gael Clichy akishangilia mbele ya Uwanja wa nyumbani, Etihad baada ya kuifungia timu yake dakika ya 58 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana. Bao lingine la City iliyompoteza mchezaji wake,
Fernandinho aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 32 kwa kumchezea rafu Johann Gudmundsson, lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 62, wakati la Burnley lilifungwa na Ben Mee PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fernandinho aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 32 kwa kumchezea rafu Johann Gudmundsson, lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 62, wakati la Burnley lilifungwa na Ben Mee PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment