Dele Alli akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 41 na 46 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Harry Kane dakika za 27 na 33 wakati la Watford limefungwa na Younes Kaboul dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Underhill an injury doubt for Six Nations
-
England flanker Sam Underhill is an injury doubt for the Six Nations after
his club Bath announced he requires ankle surgery.
47 minutes ago
0 comments:
Post a Comment