Pedro akijiachia juu kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 21 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Brentford Blues katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Willian dakika ya 14, Branislav Ivanovic dakika ya 69 na Michy Batshuayi kwa penalti dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tinubu declares state of emergency in Rivers, appoints Vice Admiral Ibas as
sole administrator
-
From Juliana Taiwo-Obalonye, Abuja President Bola Tinubu has declared a
state of emergency in Rivers State, citing a prolonged political crisis
that has ...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment