Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akienda chini baada ya kukwatuliwa na kipa wa Celta Vigo, Sergio Alvarez na beki Muargentina, Facundo Roncaglia katika mchezo wa Robo Faainali ya Kombe la Mfalme usiku wa Jumatano Uwanja wa Balaidos timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real yalifungwa na Ronaldo dakika ya 62 na Lucas Vazquez Iglesias dakika ya 90, wakati ya Celta Vigo yalifungwa na Danilo Luiz da Silva aliyejifunga dakika ya 44 na Daniel Wass (85). Real inatolewa kwa jumla ya mabao 4-3 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI NGONGA HAPA
Draper stuns Alcaraz in dramatic Indian Wells semi-final
-
Britain's Jack Draper is helped by a controversial video call in his favour
to earn a coming-of-age win over four-time major champion Carlos Alcaraz.
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment