
Tuesday, January 31, 2017

Anthony Joshua na Wladimir Klitshchko katika picha ya pamoja kwenye mkutano na Waandishi wa Habari ukumbi wa Madison Square Garden mjin...
ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR
Tuesday, January 31, 2017
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Emmanuel Adebayor akiwa amevalia jezi ya Istanbul Basaksehir ya Ligi Kuu ya Uturuki baada ya kukamilis...
SIMBA NAO WAKATAA KUCHEZA NA MAMELODI KESHO
Tuesday, January 31, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC nayo imegoma kucheza na mabingwa wa Afrika, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, mchezo ambao ul...
SIMBA YAMUACHIA MAUMIVU MKATA UMEME WA AZAM
Tuesday, January 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kuanza rasmi mazoezi jana jioni kujiandaa na ...
WACHEZAJI CAMEROON WAGOMEA MAZOEZI SABABU YA POSHO
Tuesday, January 31, 2017
WACHEZAJI wa Cameroon jana waligoma kufanya mazoezi nchini Gabon kwa sababu ya posho. Simba Wasiofungika wanadai posho zao baada ya kuiwez...
MKWASA KATIBU MKUU MPYA YANGA
Tuesday, January 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZAJI na kocha wa zamani wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa leo ametambulishwa rasmi kuwa Katibu Mkuu w...
CHIRWA: SHUGHULI NDIYO IMEANZA SASA
Tuesday, January 31, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa amesema kwamba mabao aliyofunga juzi dhidi ya Mwadui FC ni kama ya...
SIMBA SC KUIFUATA MAJI MAJI ALHAMISI NA HASIRA ZOTE
Tuesday, January 31, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC itaondoka Dar es Salaam mapema Alhamisi kwenda Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya mchezo wa Ligi ...
Monday, January 30, 2017
MBEYA CITY NAO WAMLILIA DAVID BURHAN
Monday, January 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mbeya City fc imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa mchezaji wake David Burhan k...
YANGA SC WAKATAA KUCHEZA NA MAMELODI SUNDOWNS
Monday, January 30, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imekataa kucheza na mabingwa wa Afrika, Mamelodi Sundwons ya Afrika Kusini Ijumaa wiki hii kwa ...
MALARIA YAMKWAMISHA BOSSOU TOGO
Monday, January 30, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka la Togo (FTF) limeiandikia barua klabu ya Yanga kumuombea ruhusa beki Vincent Bossou ...
SERIKALI YAUNGA MKONO PROGRAMU YA TFF OLIMPIKI 2020
Monday, January 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema kwamba inaunga mkono juhudi za Shirikisho la Soka Ta...
TFF YAOMBOLEZA MSIBA WA KIPA WA KAGEA SUGAR
Monday, January 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mchezaji wa Kager...
MBWANA MATUMLA KUREJEA ULINGONI MWEZI UJAO
Monday, January 30, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BINGWA wa zamani wa dunia wa ngumi za kulipwa uzito wa Bantam, Mbwana Ally Matumla anatarajiwa kurejea ul...
KIPA BORA LIGI KUU AFARIKI DUNIA, ALIKUWA AMELAZWA HOSPITALI YA BUGANDO
Monday, January 30, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIPA bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2013/2014, David Abdallah Burhan amefariki dunia...
YANGA 2-0 MWADUI
Monday, January 30, 2017
REAL MADRID 3-0 REAL SOCIEDAD
Monday, January 30, 2017
MAN UNITED 4-0 WIGAN
Monday, January 30, 2017
MISRI WATINGA NUSU FAINALI AFCON, WAILAZA 1-0 MOROCCO
Monday, January 30, 2017
BAO la dakika ya 87 la Mahmoud Kahraba jana limetosha kuipeleka Nusu Fainali Misri baada ya kuilaza 1-0 katika Robo Fainali ya mwisho ya Ko...
REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA
Monday, January 30, 2017
Cristiano Ronaldo akishangiliaa baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Sociedad jana...
HATIMAYE PAYET AREJEA MARSEILLE
Monday, January 30, 2017
Dimitri Payet akiwa na jezi ya Marseille baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 25 kurejea kwenye klabu yake hiyo ya zamani kut...
YANGA NA MWADUI KATIKA PICHA JANA TAIFA
Monday, January 30, 2017
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akiinua mpira kiufundi kuwatoka wachezaji wa Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom T...
Sunday, January 29, 2017
WATOTO WA PELE WAIPELEKA GHANA NUSU FAINALI AFCON
Sunday, January 29, 2017
NDUGU Andre na Jordan Ayew wamefunga mabao kuiwezesha Ghana kuingia Nusu Fainali Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 2-1 dhidi y...
LIVERPOOL YAMKODIA NDEGE SADIO MANE AWAHI MECHI NA CHELSEA
Sunday, January 29, 2017
KLABU ya Liverpool haijataka kupoteza muda zaidi kumrejesha mchezaji wake tegemeo, Sadio Mane kutoka kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya...
MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND
Sunday, January 29, 2017
Bastian Schweinsteiger (kulia) akishangilia na wenzake akiwemo Nahodha, Wayne Rooney (kushoto) baada ya kuifungia Manchester United bao...
BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS
Sunday, January 29, 2017
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezungukwa na wachezaji wa Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Benito Villa...
CHIRWA AIPANDISHA KILELENI YANGA, SIMBA WANAISOMA WAO SASA
Sunday, January 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa leo ametokea benchi na kufunga mabao yote, Yanga ikiilaza 2-0 ...
LWANDAMINA AWAANZISHA YONDAN, CANNAVARO, ZULU DHIDI YA MWADUI LEO
Sunday, January 29, 2017
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mzambia George Lwandamina leo amewaanzisha pamoja wakongwe Kevin Yondan na Nadir Haroub 'Canna...
TIMU YA SAMATTA YACHEZEA KICHAPO UBELGIJI
Sunday, January 29, 2017
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana ameshindwa kuinusuru KRC Genk ku...
CRYSTAL PALACE 0-3 MAN CITY
Sunday, January 29, 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)