// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA WAREJEA KWA KISHINDO MAZOEZINI LEO BAADA YA MGOMO WA SAA 48 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA WAREJEA KWA KISHINDO MAZOEZINI LEO BAADA YA MGOMO WA SAA 48 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, December 21, 2016

        YANGA WAREJEA KWA KISHINDO MAZOEZINI LEO BAADA YA MGOMO WA SAA 48

        Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya mgomo wa siku mbili wakishinikiza kulipwa mishahara yao ya Novemba. 
        Wachezaji wa Yanga wamesitisha mgomo baada ya kuahidiwa kulipwa kabla ya Ijumaa
        Juma Mahadhi (kulia) akimiliki mpira pembeni ya Pato Ngonyani
        Geoffrey Mwashiuya akipiga mpira mbele ya Justin Zulu
        Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' (kushoto) akitafuta maarifa ya kuupitisha mpira mbele ya Hassan Kessy
        Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi ya viungo
        Mkurugenzi wa Ufundi, Hans van der Pluijm akitazama simu yake 
        Wachezaji wa Yanga wamefanya mazoezi mengi leo kabla ya kuingia kwenye mchezo wa Ijumaa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya African Lyon
        Nyuma kulia ni kocha wa mazoezi ya viungo Noel Mwandila 'akiwafua' vijana 
        Hapa ni kikosi kizima, makochja na wachezaji wachezaji wa Yanga
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA WAREJEA KWA KISHINDO MAZOEZINI LEO BAADA YA MGOMO WA SAA 48 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry