Beki wa JKT Ruvu, Edward Joseph akijaribu kuondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishonda 2-0
Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (kulia) akimiliki mpira pembeni ya kiungo wa JKT Ruvu, Hassan Dilunga
Winga wa Yanga, Simon Msuva (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpira beki wa JKT Ruvu, Edward Charles
DonaldNgoma wa Yanga akipasua katikati ya mabeki wa JKT Ruvu
Kiungo wa Yanga, Said Juma 'Makapu' akienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya mchezaji wa JKT Ruvu
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiuchungulia mpira miguuni mwa beki wa Ruvu, Michael Aidan Pius
Beki wa Yanga akipiga mira kichwa kuondosha hatarini dhidi ya mshambuliaji wa JKT Ruvu, Najim Magulu
Manahodha; Haruna Niyonzima wa Yanga (kushoto) na Michael Aidan Pius wa JKT Ruvu
Beki wa Yanga, Juma Abdul akitia krosi baada ya kumpita beki wa JKT Ruvu
Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Hans van der Pluijm akizungumza na Mwanasheria maarufu nchini, Alex Mgongolwa (kushoto) wakati mchezo ukiendelea
MLB News: Brooks Raley Reportedly Eyed by Yankees, Cubs amid Multiyear
Contract Talks
-
Veteran relief pitcher Brooks Raley is garnering interest in free agency
and could sign a multiyear contract, according to The Athletic's Ken
Rosenthal and…
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment