// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); USAIN BOLT, ALMAZ WANARIADHA BORA WA MWAKA DUNIANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE USAIN BOLT, ALMAZ WANARIADHA BORA WA MWAKA DUNIANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 03, 2016

    USAIN BOLT, ALMAZ WANARIADHA BORA WA MWAKA DUNIANI

    Mjamaica Usain Bolt na Mhabeshi Almaz Ayana wakiwa wameshikilia tuzo zao za Wanariadha Bora wa kiume na wa kike wa Mwaka kutoka Shirikisho la Kimataifa la Riadha (IAAF) baada ya kukabidhiwa jana mjini Monaco, Ufaransa. Usain Bolt alitwaa Medali yake ya tisa ya Dhahabu ya Olimpiki baada ya kutwaa tena mjini Rio mwaka huu na sasa kijana huyo wa umri wa miaka 30 atastaafu mwakani baada ya michuano ya Dunia, akikimbia mbio za mita 100 na relay ya 4x100 katika msimu wake wa mwisho. PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: USAIN BOLT, ALMAZ WANARIADHA BORA WA MWAKA DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top