Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akimiliki mpira mbele ya beki wa Ruvu Shooting jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Simba ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa Simba, Pastory Athanas akimiliki mpira mbele ya beki wa Ruvu Shooting
Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimpita kiungo wa Ruvu Shooting, Jabir Aziz
Kipa wa Ruvu Shooting, Bidii Hussein akiokoa moja ya hatari langoni mwake
Beki wa Simba, Abdi Banda akijitengeneza kumpiga chenga mshambuliaji wa Ruvu, Fully Maganga
Winga wa Simba, Shiza Kichuuya akipiga hesabu za kuwapita wachezaji wa Ruvu
Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio (kushoto) akiwania mpira wa juu na beki wa Ruvu, Damas Makwaya
Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimpita Jabir Aziz
Waziri wa zamani wa Michezo, Profesa Juma Athumani Kapuya alikuwepo jana kuishuhudia Simba yake
Viongozi wa Simba kutika kulia Said Tuliy, Iddi Kajuna na Kassim Dewji wakijadiliana jambo wakati mchezo ukiendelea









0 comments:
Post a Comment