// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SERIKALI 'YAIPA' YANGA UWANJA WA UHURU NA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SERIKALI 'YAIPA' YANGA UWANJA WA UHURU NA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, December 02, 2016

    SERIKALI 'YAIPA' YANGA UWANJA WA UHURU NA TAIFA

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (katikati) akisaini kwa niaba ya Serikali mkataba wa kuiruhusu Yanga kutumia Uwanja wa Uhuru kwa mechi za mashindano ya nyumbani na Uwanja wa Taifa kwa mechi za michuano ya Afrika leo mjini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERIKALI 'YAIPA' YANGA UWANJA WA UHURU NA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top