Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo (kulia) akiruka kupiga kichwa na kukosa bao la wazi katika mchezo wa Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia leo dhidi ya Club-America Uwanja wa Nissan mjini Yokohama, Japan. Real imeshinda 2-0, mabao ya Karim Benzema dakika ya 45 na ushei na Ronaldo dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim names team to face Saints
-
See who Ruben has selected for the home game with Southampton.
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment