Monday, December 26, 2016

    MAN CITY YAENDELEZA MOTO LIGI KUU ENGLAND

    Kelechi Iheanacho akimchambua kipa wa Hull City kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 78 katika ushindi wa 3-0 leo Uwanja wa KCOM. Mabao mengine ya City yamefungea na Yaya Toure kwa penalti dakika ya 72 na Curtis Davies aliyejifunga dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAENDELEZA MOTO LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry