• HABARI MPYA

        Saturday, December 31, 2016

        LIVERPOOL YAITWANGA MAN CITY 1-0 ANFIELD

        Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool dakika ya nane ikiilaza 1-0 Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LIVERPOOL YAITWANGA MAN CITY 1-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry